Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Nd,Hassan Khatibu Hassan kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya
Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana,Wanawake na Watoto leo katika Ukumbi
wa Ikulu Mjini Unguja,kabla alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Pemba,[Picha
na Ikulu.]
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa kwa Naibu katibu Mkuu Wizara
ya Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana,Wanawake na Watoto Nd,Hassan
Khatib Hassan leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja, kabla alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Pemba,[Picha na Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Nd,Hassan
Khatibu Hassan baada ya kumuapisha kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya
Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana,Wanawake na Watoto leo katika Ukumbi
wa Ikulu Mjini Unguja, kabla alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Pemba,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Katibu
Mkuu Wizara ya Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana,Wanawake na Watoto
Asha Abdalla baada ya kumalizika kwa hafla ya kuapishwa Nd,Hassan Khatibu Hassan kuwa Naibu katibu wizara hiyo leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
0 comments:
Post a Comment