Aliyekuwa Waziri wa Nchi
Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dkt.Mwinyihaji Haji Makeme Mwadini
akitoa shukurani kwa wafanyakazi wa Wizara ya Katiba,Sheria,Utumishiwa Umma na Utawala Bora wakati wa makabidhiano ya Ofisi na Waziri wa Nchi
Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishiwa Umma na Utawala Bora Mhe Haroun
Ali Suleiman leo katika ukumbi wa Jengo la Wizara ya Utumishi wa Umma
Shangani Mji Mkongwe wa Zanzibar, baada ya uteuzi uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Sheun,[Picha na Ikulu.]
Home »
» MAKABIDHIANO YA OFISI
MAKABIDHIANO YA OFISI
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment