Mgeni
Rasmi ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dkt.Abdulla Juma
Saadala, akimkabidhi kombe Nahodha wa timu ya Kundemba FC,Mohamed Haji
Shaibu, baada ya kuibuka mshindi katika mashindano
ya Masauni - Jazeera Cup.Katikati ni Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni,
Mhandisi Hamad Masauni.Mchezo huo ulimalizika kwa mikwaju ya penati 8-7
iliyopelekea timu ya Kundemba FC kuibuka bingwa dhidi ya Kilimani Maghorofani.Mchezo huo ulifanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja, Visiwani Zanzibar. Picha na Abubakari Akida
Mgeni Rasmi ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Abdulla Juma Saadala, akimkabidhi zawadi ya viatu mchezaji
bora wa mashindano ya Masauni - Jazeerah Cup,Shabani Makuka.Kushoto ni
Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni, Nassor Saleh Jazeera na watatu ni
Mbunge wa jimbo hilo,Mhandisi Hamad Masauni.Mchezo huo ulimalizika kwa
mikwaju ya penati 8-7 iliyopelekea timu ya Kundemba FC kuibuka mshindi dhidi ya Kilimani Maghorofani, mchezo huo ulifanyika katika viwanja vya Mnazi Mmmoja,Visiwani Zanzibar.Picha na Abubakari Akida
Mwamuzi
Bora wa Mashindano ya Masauni - Jazeera Cup, Ramadhani Khamis Kombo
akipokea zawadi kutoka kwa Mgeni Rasmi ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu
wa CCM Zanzibar, Dkt.Abdulla Juma Saadala,b aada ya kumalizika kwa
mchezo wa fainali kati ya timu ya Kundemba FC na Kilimani
Maghorofani.Mchezo huo ulifanyika katika Viwanja vya Mnazi
Mmoja,Visiwani Zanzibar.Picha na Abubakari Akida
Nahodha wa timu ya Kundemba FC, Mohamed Haji Shaibu, akipokea zawadi ya mshindi wa kwanza wa mashindano ya Masauni-Jazeera Cup kutoka
kwa Mgeni Rasmi ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar ,
Dkt.Abdulla Juma Saadala.Kushoto ni Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni,
Nassor Saleh Jazeera na watatu ni Mbunge wa jimbo hilo, Mhandisi Hamad
Masauni .Picha na Abubakari Akida
Nahodha wa timu ya Kundemba FC, Mohamed Haji Shaibu, akipokea zawadi ya mshindi wa kwanza wa mashindano ya Masauni-Jazeera Cup kutoka
kwa Mgeni Rasmi ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar ,
Dkt.Abdulla Juma Saadala.Kushoto ni Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni,
Nassor Saleh Jazeera na watatu ni Mbunge wa jimbo hilo, Mhandisi Hamad
Masauni .Picha na Abubakari Akida
Mgeni
Rasmi ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dkt.Abdulla Juma
Saadala, akizungumza na wananchi (hawapo pichani), waliofika kuangalia
mchezo wa fainali wa mashindano ya Masauni - Jazeera Cup.Kushoto ni
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni,Mhandisi Hamad Masauni.Mchezo huo
ulimalizika kwa mikwaju ya penati 8-7 iliyopelekea timu ya Kundemba FC kuibuka bingwa dhidi ya Kilimani Maghorofani,uliofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmmoja, Visiwani Zanzibar.Picha na Abubakari Akida
Mgeni
Rasmi ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Zanzibar,Dkt.Abdulla Juma
Saadala, akizungumza na vyombo vya habari baada ya mchezo
wa fainali wa mashindano ya Masauni - Jazeera Cup. Wapili kushoto ni
Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni,Nassor Saleh Jazeera na wanne ni Mbunge
wa jimbo hilo Mhandisi Hamad Masauni.Mchezo huo ulimalizika kwa mikwaju
ya penati 8-7 iliyopelekea timu ya Kundemba FC kuibuka bingwa dhidi ya Kilimani Maghorofani katika viwanja vya Mnazi Mmoja, Visiwani Zanzibar.
Wachezaji
na mashabiki wa timu ya Kundemba FC, wakishangilia kuibuka mabingwa wa
mashindano ya Masauni - Jazeera Cup, baada ya kuifunga timu ya Kilimani
Maghorofani kwa ushindi wa mikwaju ya penati 8-7.Mchezo huo ulifanyika
katika Viwanja vya Mnazi Mmoja,Visiwani Zanzibar
0 comments:
Post a Comment