Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
BAADHI ya machapisho yanayotolewa na Kituo
cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC, ambayo juzi yalipelekwa kwa wanafunzi wa
skuli ya sekondari ya Miti ulaya wilaya ya Wete kwenye maonyesho ya maktaba,
yalioandaliwa na ZLSC, (Picha na Haji
Nassor, Pemba).
MWALIMU Mkuu wa skuli ya sekondari ya Miti
ulaya wilaya ya Wete Riziki Makame Faki, akifungua maonyesho ya maktaba
yalioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba,
yaliofanyika skulini hapo, na wanafunzi kadhaa kujisomea vitabu mbali mbali, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
AFISA Mipango wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar
ZLSC tawi la Pemba, Siti Habib Mohamed akielezea lengo la maonyesho ya maktaba
kwa wanafunzi wa skuli ya sekondari ya Miti ulaya wilaya ya Wete Pemba,
yaliofanyika skulini hapo, (Picha na
Haji Nassor, Pemba).
MWALIMU Mkuu wa skuli ya sekondari ya Miti
ulaya wilaya ya Wete Pemba, Riziki Makame Faki akisoma jirida linalotolewa na
Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC, kwenye maonyesho ya maktaba
yaliofanyika skulini kwake na kuandaliwa na ZLSC tawi la Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
WANAFUNZI wa skuli ya sekondari
wilaya ya Wete, wakichagua vitabu kwa ajili ya kujisomea kwenye maonyesho ya
maktaba, yalioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ‘ZLSC’ tawi la
Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
WANAFUNZI wa skuli ya sekondari wilaya ya Wete, wakisoma
vitabu mbali mbali kwenye maonyesho ya maktaba yalioandaliwa na Kituo cha
Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MWANAFUNZI wa skuli ya sekondari ya
Miti ulaya wilaya Wete Pemba, akiomba ufafanuzi wa jambo kwa Afisa Mipango wa
Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ‘ZLSC’ tawi la Pemba, Siti Habib Mohamed,
kwenye maonyesho ya maktaba yalioandaliwa na ZLSC na kufayika skulini hapo, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
WANAFUNZI wa
skuli ya sekondari wilaya ya Wete, wakisoma vitabu mbali mbali kwenye
maonyesho ya maktaba yalioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria
Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
0 comments:
Post a Comment