Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) Dk, Said
Hassan Mzee, akimkabidhi Madawati Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba,
Mwanajuma Majid Abdalla, ikiwa ni mchango wa Shirika hilo kuunga mkono
kauli ya Serikali ya kuchangia madawati.
Madawati
ambayo yamekabidhiwa kwa mkuu wa mkoa wa Kusini Pemba, Mwanajuma Majid
Abdalla, na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Biashara la Taifa
Zanzibar. (ZSTC) Dk, Said Hassan Mzee, ikiwa ni mchango wa madawati kwa
Skuli za mkoa huo.
Picha na HAMAD SHAPANDU -MAELEZO PEMBA.
0 comments:
Post a Comment