Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
NAIBU sheha wa shehia ya Wesha Haji Mohamed
Ali akizungumza kwenye mkutano wa wazi wa kutoa msaada wa kisheria,
ulioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, na
kufanyika uwanja wa mpira wa miguu shehiani humo, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MWANANCHI wa shehia Wesha wilaya ya
Chakechake Salim Haji Khatib ‘Ok’akiuliza suali kwenye mkutano wa wazi wa kutoa
msaada wa kisheria, ulioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ‘ZLSC’
tawi la Pemba na kufanyika uwanja wa mpira shehiani humo, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
WANANCHI wa shehia ya Wesha wilaya ya Chakechake
wakifuatilia mkutano wa wazi wa kutoa msaada wa kisheria ulioandaliwa na Kituo
cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, na kufanyika uwanja wa mpira
wa miguu shehiani humo, (Picha na Haji
Nassor, Pemba).
0 comments:
Post a Comment