Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Waziri
wa Biashara , Viwanda na Masoko wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar
,Amina Salim Ali, akikata utepe katika ufunguzi wa Banda la Karafuu huko
katika shehia ya Mjimbini Pemba , lilijengwa na Shirika la Biashara la
Taifa Zanzibar ( ZSTC) Pemba.
Waziri
wa Biashara Viwanda na Masoko wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi
Amina Salim Ali, akikaguwa ujenzi wa banda la ununuzi wa Karafuu huko
katika Shehia ya Mjimbini Pemba.
Waziri
wa Biashara Viwanda na Masoko wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi
Amina Salim Ali, akikaguwa ujenzi wa banda la ununuzi wa Karafuu huko
katika Shehia ya Mjimbini Pemba
0 comments:
Post a Comment