Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
NAIBU Waziri wa
Wizara ya Habari, Utalii Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe.Chuom Kombo Khamis
akizungumza na waandishi wa habari kutoka Vyombo vya Serikali, kikao
kilichofanyika katika ukumbi wa magofu mjini Chake Chake
AFISA Mdhamini Wizara
ya Habari Utalii,Utamaduni na Michezo Zanzibar, Khatib Juma Mjaja akizungumza
na waandishi wa habari kutoka vyombo vya Serikali, huko katikaukumbi wa Magofu
Chake Chake Pemba
WAANDISHI wa Habari kutoka vyombo mbali mbali serikali Pemba,
wakimsikiliza kwa makini Naibu waziri wa Wizara ya Habari, Utalii utamaduni na
Michezo Zanzibar, wakati alipokwua akizungumza nao mjini chake chake.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)
0 comments:
Post a Comment