Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Ali Mohammed Shein
akiteremka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar akitokea
Uingereza kwa ziara binafsi.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Ali Mohammed Shein
akisalimiana na Makamo wa Pili wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar
Balozi Seif Ali Idi mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Zanzibar akitokea Uingereza kwa ziara binafsi.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Ali Mohammed Shein
akisalimiana na Viongozi mbalimbali waliofika kumpokea baada ya
kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar akitokea
Uingereza kwa ziara binafsi.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Ali Mohammed Shein
akisalimiana na Viongozi mbalimbali waliofika kumpokea baada ya
kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar akitokea
Uingereza kwa ziara binafsi.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
0 comments:
Post a Comment