Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Akijadiliana Jambo na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mh Ayoub Mahamud
Mohamed alipofika kutembelea Ujenzi wa barabara ya Kwamata -Kinuni
mpaka Kijito upele inayojengwa na Mkandarasi wa kampuni ya Mecco,Rais
akiwa katika ziara yake ya kutembelea maendeleo ya Miradi ya Maendeleo
Wilaya ya Magharibi”B” katika Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) alipokuwa akizungumza na Wananchi na Wanachama wa Chama cha
Mapinduzi CCM wa Kinuni na Magogoni leo alipofanya ziara ya kutembelea
Ujenzi wa barabara ya Kwamata -Kinuni mpaka Kijito upele inayojengwa na
Mkandarasi wa kampuni ya Mecco, katika ziara yake ya kutembelea
maendeleo ya Miradi ya maendeleo Wilaya ya Magharibi”B” katika Mkoa wa
Mjini Magharibi,(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa
Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZMhe.Haji Omar Kheir na Mkuu wa
Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud.
Baadhi
ya Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wa Kinuni na
Magogoni wakiwa katika shamra shamra wakati Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani )
alipofika kutembelea Ujenzi wa barabara ya Kwamata -Kinuni mpaka Kijito
upele leo inayojengwa na Mkandarasi wa kampuni ya Mecco,Rais akiwa
katika ziara yake ya kutembelea maendeleo ya Miradi ya maendeleo Wilaya
ya Magharibi”B” katika Mkoa wa Mjini Magharibi
Mkuu
wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mh Ayoub Mahamud Mohamed Akieleza Machache
Namna kampeni ya Mimi na wewe ilivyoweza kuleta Mapinduzi Makubwa Kwenye
Wilaya ya Magharibi B Ambapo wamefanikiwa Kujenga Madarasa Matatu na
Maabara kwa Muda wa Siku kumi na Moja,Rais Shein Amempongeza Mkuu
waMkoa huyo kwa Juhudi kwabwa Anazojitolea kuwaletea Maendeleoa Wananchi
wa Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein Akiwa Mwenyekiti
wa Kampuni ya Azam Group Bw.Said Salim Bakhresa alipotembelea Mradi wa
Ujenzi wa Nyumba za kisasa huko Fumba wilaya ya Magharibi B Mkoa wa
Mjini Magharibi leo alipofanya ziara kuangalia ujenzi wa nyumba hizo
zinazojengwa na Kampuni ya Azam Group,(kushoto ) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibu Nd,Ayoub Mohamed Mahmoud.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibu Nd,Ayoub Mohamed Mahmoud Akimkabidhi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein Moja
ya zawadi zilizotolewa na Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi wakati wa
Majumuisho ya Ziara ya Siku tatu Aliofanya kwenye Mkoa wa Mjini
Magharibi Kukagua Shuguli za Maendeleo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Akiwa Ameambatana na Viongozi Mbalimbali wa Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar baada ya Kuhitimisha Ziara ya Siku tatu kwenye Mkoa wa Mjini
Magharibi
0 comments:
Post a Comment