Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mratibu wa Jumuiya ya kumuendeleza mtoto wa kike kielimu (FAWE) Hinda Abdalla Ajmy akizungumza na walimu na wanafunzi walioshiriki mafunzo ya siku tano ya Ufundi na Hisabati katika Hoteli ya Africa House Shangani, Mjini Zanzibar.
Mhandisi wa ujenzi Talha
Masoud akiwaonesha washiriki wa mafunzo hayo michoro ya majengo
aliyobuni na kuwataka wanafunzi wa kike kujitokeza kujiunga na fani hiyo
kwani inasoko kubwa hivi sasa.
Mtaalamu wa Teknolojia
ya Mawasiliano ya Habari (ICT) Raya Said Khalifa akiwasisitiza
wanafunzi wa kike kujiunga na fani hiyo ili kwenda na wakati wa sasa wa
sayansi na teknolojia.
Wanafunzi
wa skuli ya wanawake Tumekuja wakifanya majaribio ya huduma ya kwanza
katika mafunzo ya siku tano ya sayansi yaliyofanyika Hoteli ya Africa
House Shangani Zanzibar.
Walimu wa skuli walioshiriki mafunzo hayo wakifuatilia majaribio ya kisayansi yaliyokuwa yakifanywa na washiriki wenzao.
Mgeni
rasmi Afuwa Mohammed akiyafunga mafunzo ya siku tano kuhusu masomo ya
sayansi yatokanayo na engineering na hisabati mara tuu baada ya
kuwahutubia.
(PICHA NA ABDALLA OMAR – HABARI MAELEZO ZANZIBAR.)
0 comments:
Post a Comment