Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
OFISI
ya ZRB bandarini Mkoani ikiwa imepambwa kabla ya uzinduzi wake,
uliofanywa na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk Khalid Salum
Mohamed.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WAZIRI wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk Khalid Salum Mohamed, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Bodi ya Mapato bandarini Mkoani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
VIONGOZI
mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, wakifuatia kwa makini
ngoma ya Mpitatango iliyokuwa ikitumbuiza, wakati wa uzinduzi wa ofisi
ya ZRB Bandarini Mkoani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
AMISHNA
wa Bodi ya Mapato Zanzibar Amour Hamil Bakari, akitoa taarifa ya ujenzi
wa kituo cha bodi hiyo Bandarini Mkoani, wakati wa Uzinduzi uliofanyw
ana Waziri wa Fedha Dk Khalid Salum Mohamed.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WAZIRI
wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk. Khalid Salum Mohamed, akizungumza na
wananchi wa Mkoani na watendaji wa ZRB Pemba, mara baada ya kuizindua
rasmi ofisi ya bodi hiyo bandarini Mkoaki.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WAZIRI
wa Fedha na Mipanfo Zanzibar Dk. Khalid Salum Mohamed, akiwa katika
picha ya Pamoja na watendaji wa ZRB na Wafanyakazi wa Serikali, mara
baada ya kuizindua Ofisi ya Bodi hiyo Bandarini Mkoani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WATENDAJI
wa Bodi ya Mapato Zanzibar ZRB, wakiongozwa na kamishna wa bodi hiyo
Amour Hamil Bakari, wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya ofisi ya ZRB
Bandarini Mkoani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
0 comments:
Post a Comment