Home » » DKT. SHEIN AONGOZA MKUTANO WA 8 WA BARAZA LA BIASHARA ZBR

DKT. SHEIN AONGOZA MKUTANO WA 8 WA BARAZA LA BIASHARA ZBR


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akioonmgoza kikao cha mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara la Zanzibar (ZBC) ulilofanyika leo Jumanne Desemba 16, 2014 kwenye ukumbi wa Salama, Bwawani Hotel mjini Unguja, (kushoto), ni Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahaya Mzee
Baadhi ya washirika wakifuatilia mjadala
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja kushiriki katika Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara la Zanzibar (ZBC) lililofanyika leo Jumanne Desemba 16, 2014
Mawaziri na maafisa wa serikali wakinakili yaliyojiri
Mfanyabiashara Taufuk Salum Turky alipokuwa akitoa mchango wake na kuishauri Serikali kuchukua hatua za haraka katika kutoa maamuzi kwa miradi mbali mbali inayotaka kufunguliwa na wafanyabiashara wakati wa Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara Zanzibar (ZBC) ulioendelea leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja
Mhasibu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Omar Hassan Omar akijibu masuala yaliyoulizwa wakati wa Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara la Zanzibar (ZBC) ulilofanyika leo Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja ambapo mwenyekiti wake alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
 
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Tone multimedia company Limited
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa