Home » » GARI YA JESHI YAPATA AJALI ZANZIBAR NA KUJERUHI WAKATI MWAKIELEKEA MAKABURINI KUZIKA WALIOPOTEZA MAISHA SUDAN

GARI YA JESHI YAPATA AJALI ZANZIBAR NA KUJERUHI WAKATI MWAKIELEKEA MAKABURINI KUZIKA WALIOPOTEZA MAISHA SUDAN


05 Dereva wa gari la JWTZ lililopata ajali katika eneo la Mwanakwerekwe wakati wa wakielekea kwenye mazishi ya wanajeshi wawili wa Zanzibar waliofari Darfur akishushwa kwenye gari katika hospitali ya Mnazi mmoja kwa ajili ya kupatiwa matibabu. 06Wanajeshi wakimshusha majeruhi wa ajali ya gari ya JWTZ iliotokea Mwanakwerekwe , katika hospitali ya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar. 
(Picha na Makame Mshenga Maelezo Zanzibar).

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa