IMG_3316
 Kikosi kazi cha Skylight Band kwenye picha ya pamoja ndani ya uwanja wa Ngome Kongwe visiwani Zanzibar walipopata mwaliko kutumbuiza kwenye tamasha la ZIFF 2013 kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa Band hiyo ambayo haijamaliza hata mwaka.
IMG_3334
Kikundi cha ngoma za Asili inayofahamika kama “KIDUMBAKI” kikitoa burudani kwenye tamasha za ZIFF linaloendelea Visiwani humo eneo la Ngome Kongwe.
IMG_3344
Mmoja wa Wanenguaji wa Ngoma ya asili ya KIDUMBAKI akionyesha ufundi wake wa kunyonga kiuno ambapo alionekana kuvutia wengi na kucheza vizuri kushinda kinadada….Mambo ya Pwani hayo aatiiiiiiiiii.
IMG_3363
Wanamuziki wa Skylight Band wakishambulia jukwaa wakati wa tamasha la Zanzibar International Film Festival 2013 (ZIFF)  linaloendelea kwenye viwanja vya Ngome Kongwe visiwani Zanzibar.
IMG_3385
Aneth Kushaba AK 47 akifanya yake jukwaani kuwapa raha mashabiki wa Skylight Band kwenye uwanja wa Ngome Kongwe Visiwani Zanzibar wakati wa tamashala ZIFF 2013.
IMG_3381
Baadhi ya raia wa kigeni wakijaribu kucheza style mbali mbali za Band hiyo kwenye tamasha la ZIFF 2013.
IMG_3372
Sam Mapenzi akiongozi wasanii wenzake kutoa burudani kwa  Wanzibari na wageni kutoka mataifa mbalimbali waliohudhuria tamasha la ZIFF 2013 usiku wa kuamkia leo ambalo linaendelea kwenye uwanja wa Ngome Kongwe.
IMG_3400
Baadhi ya raia wa kigeni wakilisakata Sebene lililokuwa likiporomoshwa na Skylight Band kwenye tamasha la ZIFF 2013 visiwani Zanzibar
IMG_3396
Binti mwenye  uwezo wa kumtoa nyoka pangoni Mary Lukas akiwapa raha mashabiki wa tamasha la ZIFF 2013 visiwani Zanzibar.
IMG_3510
Sony Masamba a.k.a Fally Ipupa Bongo kutoka Skylight Band akishindani na kijana Kassim kulisakata sebene.
IMG_3448
Mpiga Drum mahiri wa Skylight Band Idrisa akiwa kibaruani kuhakikisha mashabiki wa Band hiyo wanapata ile ladha halisi. Njoo Thai Village Ijumaa hii ushuhudie maufundi ya kijana huyu.
IMG_3504
Mmoja wa wa watoto aliyeonekana kuwa kivutio kwa wengi akishindina kusakata sebene na raia wa kigeni wakati wa tamasha la ZIFF 2013.
IMG_3401
Wageni walichizika kushinda hata wenyeji kama inavyoonekana pichani.
IMG_3421
IMG_3489
Full kujiachia na kwaito ilichezeka. Hapana chezea Skylight Band weweeeeeee.!
IMG_3404
Umati wa wageni kutoka mataifa mbalimbali uliofika kushuhudia show ya kukata na shoka iliyopigwa na Skylight Band usiku wa kuamkia leo Ngome Kongwe visiwani Zanzibar.
IMG_3347
IMG_3338
Mary Lukas akishow love na Mpiga Bass Guitar Chilichala back stage wakati wa tamasha la ZIFF 2013.

Picha zote kwa Hisani ya Mo Blog