Home » » Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein Akutana Kwa Mazungumzo na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena L.Tax

Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein Akutana Kwa Mazungumzo na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena L.Tax


  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana  na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena L.Tax,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana asubuhi  baada ya mazungumzo yao.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena L.Tax,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana asubuhi kumuaga  Rais, baada ya kuteuliwa kushika wadhifa wake huo.Picha na Ramadhan Othman-IKULU-Zanzibar

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa