Home » » UVCCM WAKUTANA NA KATIBU WAO SIXTUS MAPUNDA VISIWANI ZANZIBARUVCCM WAKUTANA NA KATIBU WAO SIXTUS MAPUNDA VISIWANI ZANZIBAR

UVCCM WAKUTANA NA KATIBU WAO SIXTUS MAPUNDA VISIWANI ZANZIBARUVCCM WAKUTANA NA KATIBU WAO SIXTUS MAPUNDA VISIWANI ZANZIBAR


Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Sixtus Mapunda, akihutubia mkutano wa hadhara wa UVCCM uliofanyika kwenye Viwanja vya Komba Wapya, mjini Zanzibar, jana, baada ya mkutano wa Baraza Kuu la Jumuia hiyo kumalizika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM, Kisiwandui. Kushoto ni Mwenyekiti wa UVCCM, Taifa, Sadifa Juma.
Watu waliohudhuria mkutano wa UVCCM kwenye viwanja vya Komba Wapya, Zanzibar wakishangilia.
Mmoja wa mashabiki wa CCM aliyehudhuria mkutano wa UVCCM kwenye viwanja vya Komba Wapya, Zanzibar, akishangilia.
Baadhi ya wananchi wakiwa wamepanda juu ya jengo kushuhudia kila kilichokuwa kikifanyika kwenye mkutano wa hadhara wa UVCCM uliofanyika Viwanja vya Komba Wapya, Zanzibar.
Baadhi ya viongozi wa CCM, waliohudhuria mkutano wa hadhara wa UVCCM kwenye viwanja vya Komba Wapya mjini Zanzibar.
Mwenyekiti wa UVCCM Sadifa Juma Hamis akihutubia mkutano wa hadhara wa Jumuia hiyo, kwenye Viwanja vya Koamba Wapya mjini Zanzibar. 
(Picha zote na Bashir Nkoromo).

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa