Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimia na Balozi wa Shirikisho la Urusi Nchini Tanzania Alexander
A.Rannik,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Balozi wa Shirikisho la Urusi Nchini Tanzania Alexander
A.Rannik,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akifuatana na Balozi wa Shirikisho la Urusi Nchini Tanzania
Alexander A.Rannik,baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini
Zanzibar leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

0 comments:
Post a Comment