Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar Shaka Hamdu, akimsalimia Rais
Mstaaf wa Zanzibar Awamu ya Tano Dkt. Salmin Amour Juma, alipofika
nyumbani kwekev kumpa mkono wa pole kwa kufiwa na Ndugu yake Kanal
Mstaaf Abuu Amour Juma., alipofika huko nyumbani kwake migombani
Zanzibar.
Dkt. Salmin Amour Juma akizungumza na Ujumbe wa UVCCM, uliokuwa
ukiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Shaka Hamdu ulipofika kumjulia hali na
kumpa mkono wa pole.
Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar Shaka Hamdu, akitowa salamu za
UVCCM walipofika kumfariji na kutowa mkono wa pole kwa kufiwa na Ndugu
yake Kanal Mstaaf Abuu Amour Juma, wiki iliopita na kuzikwa kijiji kwao
Kidombo Wilaya ya Kaskazini Unguja.
Vijana wa UVCCM wakisoma dua wakati
walipofika kumtembelea Rais Mstaaf wa Zanzibar Dkt, Salmin Amour Juma
(Komando) nyumbani kwake migombai Unguja.
0 comments:
Post a Comment