Home » » MADAKTARI WA CHINA WAZINDUA HUDUMA MPYA (ENDOSCOPE) HOSPITALI YA MNAZI MMOJA ZANZIBAR

MADAKTARI WA CHINA WAZINDUA HUDUMA MPYA (ENDOSCOPE) HOSPITALI YA MNAZI MMOJA ZANZIBAR

01-3 
Daktari bingwa kutoka China Sun Kewen akimfanyia uchunguzi wa maradhi ya tumbo na koo mgonjwa mmoja kwa kutumia mashine ya kisasa (Endoscope) iliyofayiwa majaribio katika Hospitali kuu ya Mnazimmoja leo. 02-4 
Daktari Wang Lei akiangali sehemu ya ndani ya tumbo la mfanyakazi wa Hospitali ya Mnazimmoja kwa kutumia mashine ya (Endoscope) ambayo imeanza kufanyiwa marajabio rasmi katika Hospitali hiyo. Kushoto ni muuguzi Halima Habib Abdalla anaefuatilia kwa karibu majario ya mashine hiyo. 03-2 
Dkt. Sun Kewen na Dkt Wang Lei wakionyeshana Lei matokeo ya uchunguzi wa mgonjwa Halima Habib aliefanyiwa uchunguzi wa tumbo kwa kutumia mashine ya (Endoscope). 04-3 
Dk. Wang Lei akitoa maelezo ya namna mashine ya (Endoscope) inavyofanyakazi na kutoa matokeo ya uhakika matatizo ya mgonjwa kwa muda mfupi.
(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
Chanzo:full shangwe blog

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa