Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akikata utepe kufungua Kituo cha Afya Bumbwini Kiongwe,Jimbo la
Bumbwini Wilaya ya Kaskazini B,Mkoa wa Kaskazini Unguja jana,katika
shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akifungua pazia kukifungua Kituo cha Afya Bumbwini Kiongwe,Jimbo
la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini B,Mkoa wa Kaskazini Unguja jana,katika
shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,(kulia) Waziri wa Afya
Juma Duni Haji.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akipata maelezo kutoka kwa Daktari dhamana Abdulwahab
Mohamed,baada ya kukifungua Kituo cha Afya Bumbwini Kiongwe,Jimbo la
Bumbwini Wilaya ya Kaskazini B,Mkoa wa Kaskazini Unguja jana,katika
shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akimuuliza suala Daktari wa huduma za Mama na Mtoto,Halima
Abdalla Saidi,wakati alipotembelea sehemu mbali mbali zinazotoa huduma
katika kituo cha Afya Bumbwini Kiongwe,Jimbo la Bumbwini Wilaya ya
Kaskazini B,Mkoa wa Kaskazini Unguja,baada ya kukifungua jana,katika
shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
chanzo;Michuzi blog

0 comments:
Post a Comment