Home » » JUMUIYA YA DARAJA FONDATION YENYE MAKAO MAKUU YAKE CANADA YAJITAMBULISHA ZANZIBAR

JUMUIYA YA DARAJA FONDATION YENYE MAKAO MAKUU YAKE CANADA YAJITAMBULISHA ZANZIBAR


 Mkurugenzi mtendaji wa Daraja Fonndation Bi. Arsheen Dhalla yenye Makao Makuu yake Canada akiitambulisha Jumuiya yao inayojishuhulisha na sekta ya Afya, Elimu na Watoto mayatima katika hafla iliyofanyika Hoteli ya Amore Mio Mjini Zanzibar.
 Baadhi ya watoto yatima na walezi wao waliofika katika uzinduzi wa Jumuiya ya Daraja Fonndation katika hafla iliyofanyika Hoteli ya Amore Mio Mjini Zanzibar.
 Afisa wa Afya wa Daraja Fonndation Bwa. Ahmed Said Suleiman akielezea jinsi ya Jumuiya yao inavyofanya kazi zake hapa Zanzibar katika sherehe iliyofanyika Hoteli ya Amore Mio Mjini Zanzibar.
Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa