Afisa
Mipango Wilaya Kusini Unguja Bw. Faida Khamis Ali akifungua mafunzo ya
siku tatu juu ya uelimishaji wa sheria ya uvuvi kwa wakuu wa madiko na
wavuvi,katika skuli ya kitogani Kusini Unguja (kulia) Mratibu wa mradi
Bw. Omar Muh’d na (kushoto) ni Makamo M/kiti wa Jumuiya maendeleo ya
Wavuvi wa Kojani (KOFDO) Ussi Suleiman.
Mkufunzi
Muhammed Kassim (alie simama kulia) akitoa elimu yuu sheria ya uvuvi
ya Zanzibar katika mafunzo yaliyo fadhiliwa na the Foundation for Civil
Society huko Kitogani Kusini Unguja.
Baadhi
ya washiri wa mafunzo ya uelimishaji wa sheria ya uvuvi wakimsikiliza
kwa makini Mkufunzi Muhammed Kassim (hayupo pichani) katika mafunzo juu
ya sheria ya uvuvi.
Mshika
Fedha wa Jumuiya maendeleo ya Wavuvi wa Kojani (KOFDO) Faki Othman
akichangia katika mafunzo ya sheria ya uvuvi huko Kitogani Kusini
Unguja.
(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
0 comments:
Post a Comment