Wawakilishi kutoka Kampuni ya
Shell International Exploration na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika mkutano Hague Uholanzi
---
Kufuatia kusainiwa kwa
Mkataba wa Makubaliano (MoU) kati ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na
kampuni ya kimataifa ya utafiti na Uzalishaji wa gesi (Shell) tarehe 28 Agosti
2013, wawakilishi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Shell walikutana huko
The Hague, Uholanzi kwa ajili ya uzinduzi wa kamati ya utekelezaji (JIC) tarehe
19 na 20 Januari 2014.Wakati wa mkutano huo, majadiliano muhimu yalifanyika
katika maeneo ya kujenga uwezo, uwekezaji wa jamii na maendeleo katika mafuta
na sekta ya gesi.
JIC ilianzishwa kwa lengo la utekelezaji wa makubaliano. Makubaliano yameainisha ushirikiano kati ya Shell na Zanzibar katika mafuta na sekta ya gesi na inaelezea shughuli za awali.
"Tunategemea ushirikiano wa muda mrefu na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar juu ya maendeleo ya sekta za mafuta na gesi Zanzibar," alisema Axel Knospe, mwakilishi Shell visiwani Zanzibar. "

0 comments:
Post a Comment