ZIFF
INAKARIBISHA FILAMU ZA WATANZANIA
Tamasha la
filamu la Nchi za Jahazi - ZIFF linatangaza kuwa tarehe za kufunga kupokea
filamu zitazoshindana katika kinyanganyiro cha ZIFF2014 ni tarehe 31 January, 2014, hii ikiwemo pia filamu za Kiswahili (Bongo
Movies)
Mashindano yamo
katika nyanja tofauti pamoja na:
- Filamu Bora ya Tamasha (Golden Dhow)
- Filamu ya pili kwa ubora (Silver Dhow)
- Documentary Bora (Golden Dhow)
- Documentary ya Pili kwa ubora (Silver Dhow)
- Filamu Fupi Bora (East Africa Talent Award)
- SIGNIS Award (Best documentary)
- Verona Award (Best African Feature film)
- Sembene Ousmane Award (Best Development film $5000)
ZUKU Awards
- Best Swahili Film (Tsh 1 mil)
- Best Swahili Film Actor (Tsh 500,000)
- Best Swahili Film Actress(Tsh 500,000)
- Best Camera
- Best Sound
Haya shime
tujitowe kimasomaso mwaka huu watanzania turudishe heshima yetu afrika
mashariki.
Tanzania
ilikuwa nchi ya kwanza kuwa na filamu iliyoshinda kimataifa:
FESPACO - Arusi ya Mariamu, 1985- (Tuzo 12 kimataifa)
FESPACO - Arusi ya Mariamu, 1985- (Tuzo 12 kimataifa)
Ikashinda tena
FESPACO - Mama Tumaini (1987) Tuzo ya Unicef)
Kenya na Uganda wakati huo bado
wamelala!!
ZIFF 2014
-Tarehe 14-22 June- ZANZIBAR.
Tembelea www.ziff.or.tz kwa maelezo zaidi.
0 comments:
Post a Comment