Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitambulishwa kwa mshauri wa Ujenzi wa kampuni ya Hab Consult Bw.Habib
Nuru,Katibu Mkuu Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Dkt.Khalid
Salum,alipofika viwanja vya Kisonge,Michenzani Mjini Unguja, kuweka
Jiwe la Msingi Mnara wa Kumbu kumbu ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar
leo asubuhi
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiwa ameongozana na Makamu wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Shariff Hamad
na Waziri wa Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mohamed Aboud Mohamed.akiwapungia
mkono wananchi waliohudhuria katika sherehe za uwekaji wa jiwe la
msingi Mnara wa Kumbu kumbu ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar
katika viwanja vya Kisonge,Michenzani Mjini Unguja leo asubuhi
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifungua pazia kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa Mnara wa Kumbu kumbu
ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar, katika viwanja vya
Kisonge,Michenzani Mjini Unguja leo asubuhi
Baadhi
ya wananchi na Viongozi wa Serikali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba
yake wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Mnara wa Kumbukumbu
ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika viwanja vya
Kisongo,Michenzani Mjini Unguja leo asubuhi
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitoa hutuba yake kwa wananchi wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la
msingi Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar, katika
viwanja vya Kisongo,Michenzani Mjini Unguja leo asubuhi,(kulia) Waziri
wa Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mohamed Aboud Mohamed.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akipata maelezo kutoka kwa Bw. Habib Nuru mshauri wa Ujenzi wa kampuni
ya Hab Consult ya Dar es Salaam,baada ya kuweka jiwe la msingi Mnara wa
kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika viwanja vya
Kisonge,Michenzani Mjini Unguja leo asubuhi.
Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
Michuzi blog
Michuzi blog
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
0 comments:
Post a Comment