Home » » DR.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA MALAWI NA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI MALAYSIA

DR.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA MALAWI NA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI MALAYSIA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 



IMG_0172(1)
Rais wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Malawi Nchini Tanzania Bi.Flossie Asekanao Gomale-Chidyaonga,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais.
 IMG_0183
Rais wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi wa Malawi Nchini Tanzania Bi.Flossie Asekanao Gomale-Chidyaonga, Ikulu Mjini Zanzibar baada ya mazungumzo yao leo alipofika kujitambulisha  .[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_0143
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Dk.Azizi Ponary Mlima,Balozi mpya wa Tanzania Nchini Malaysia aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais leo asubuhi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa