Kaimu
Katibu wa Jumuiya ya Maradhi yasioambukiza Zanzibar (ZNCDA) akitoa
maelezo ya Jumuiya yao katika uzinduzi wa Jumuiya hiyo uliofanyika
viwanja vya Kibanda maiti Mjini Zanzibar leo Machi 01-2014.
Mwenyekiti
wa Jumuiya ya maradhi yasiyoambukiza Nchini Denmack(NCD) Bibi. Susanne
Volqvartz ambao ni wafadhili wa (ZNCDA) akitoa salamu ya Jumuiya yake
katika sherehe ya uzinduzi wa Jumuiya ya Maradhi yasioambukiza
Zanzibar ulifanyika viwanja vya Kibanda maiti Mjini Zanzibar.
Mgeni
rasmin Mkurugenzi wa Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dkt. Muhammed
Dahoma akizindua Jumuiya ya Maradhi yasioambukiza Zanzibar (ZNCDA)
katika sherehe zilizofanyika viwanja vya Kibanda maiti Mjini Zanzibar.
Picha No. 1515- Mgeni rasmin wakati mwenye bahasha katika picha ya pamoja ya viongozi wa (ZNCDA) na wafadhi wao kutoka Denmak.
(PICHA NA MAKAME MSHENGA WA MAELEZO-ZANZIBAR).
0 comments:
Post a Comment