Home » » Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein Akutana na Ujumbe wa Mabalozi wa Nchi za Jumuiya ya Ulaya nchini IKULU Mjini Zanzibar

Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein Akutana na Ujumbe wa Mabalozi wa Nchi za Jumuiya ya Ulaya nchini IKULU Mjini Zanzibar

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 


  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiongozana na Kiongozi wa Ujumbe wa Mabalozi wa Nchi za Jumuiya ya Ulaya nchini Filiberto CERIANI SEBREGONDI,baada ya mazungumzo yao   Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi kwa mazungumzo.
   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kiongozi wa Ujumbe wa Mabalozi wa Nchi za Jumuiya ya Ulaya nchini Filiberto CERIANI SEBREGONDI, walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi kwa mazungumzo.

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)  akizungumza na Ujumbe wa Mabalozi wa Nchi za Jumuiya ya Ulaya nchini ukiongozwa na Filiberto CERIANI SEBREGONDI,(wa pili kulia)walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi kwa mazungumzo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Mabalozi wa Nchi za Jumuiya ya Ulaya nchini walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi baada ya  mazungumzo yao. Picha na Ramadhan Othman Ikulu.

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa