Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar, Shaka Hamdu Shaka akiwahutubia mamia ya vijana baada ya kupokea matembezi ya mshikamano na kufanya mkutano wa hadhara kwenye vianja vya Magogoni Kwa Mabata mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kupongeza hotuba ya Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibr Dr. Ali Mohamed Shein aliyoitoa tarehe 12/1/2015 katika viwanja vya Amani mjini Zanzibar.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-ZANZIBAR) Umati wa vijana ukiwa kwenye mkutano huo uliofanyika kwenye viwanja wa vya Magogoni kwa Mabata. Umati wa vijana kutoka mikoa mbalimbali ukiwa kwenye mkutano huo uliofanyika kwenye viwanja wa vya Magogoni kwa Mabata. Mwenyekiti wa CCM Mjini Ndugu Borafya Silima akiwahutubia vijana na wananchi mbalimbali waliohudhuria katika mkutano huo.Baadhi ya vijana wakiwasili katika viwanja vya Magogoni Kwa Mabata kwa matembezi ya mshikamano. Vijana kutoka majimbo mbalimbali wakiwa wamekaa katika mkutano huo.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment