TANZANIA REVENUE AUTHORITY
ISO: 9001:2008 Certified
Ref:
TRA/Z/TSED 13/91
31/12/2015
TAARIFA KWA UMMA
VIWANGO VYA KODI YA MAPATO (INCOME TAX) KWA MAGARI YA BIASHARA ZANZIBAR, KWA MWAKA 2016
NAM.
|
AINA YA GARI
|
KODI YA MAPATO (INCOME TAX)
KWA MWAKA
|
1
|
Gari ya Mizigo Tani (1 – 3)
|
150,000
|
Gari ya Mizigo Tani (4 – 7)
|
318,000
| |
Gari ya Mizigo ya Tani (8 – 9) na Gari ya Kubebea Maji Safi/Machafu
|
546,000
| |
Gari ya Mizigo Tani 10 na kuendelea
|
862,000
| |
2
|
Daladala – Abiria wasiozidi 20
|
150,000
|
Daladala - Abiria zaidi ya 20
|
318,000
| |
3
|
Taxi
|
150,000
|
4
|
Private Hire – Abiria (1 – 6)
|
318,000
|
Private Hire – Abiria zaidi ya 6
|
546,000
| |
5
|
Vyombo vya Magurudumu matatu (BAJAJI)
|
150,000
|
Imetolewa na Idara ya Elimu na Huduma kwa Mlipakodi
PO Box 161 TRA-Zanzibar
Email: trazanzibar@tra.go,tz
Simu: 024 2232923
0 comments:
Post a Comment