Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Kiswahili ya Jumuiya ya
Afrika Mashariki Prof Kenneth Linyani Simala wakati alipofika Ikulu
Mjini Zanzibar akiwa na Ujumbe alliofuatana nao .
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Kiswahili ya Jumuiya ya
Afrika Mashariki Prof Keneth Linyani Simala wakati alipofika Ikulu
Mjini Zanzibar jana.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
akizungumza na mgeni wake Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Kiswahili ya
Jumuiya ya Afrika Mashariki Prof Keneth Linyani Simala wakati
alipofika Ikulu Mjini Zanzibar Jana 29/08/2017. (Picha na Ikulu)
0 comments:
Post a Comment