Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na
Mipango,Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Ukuzaji Vitega
Uchumi pamoja na Uongozi wa Mamlaka ya Ukuzaji Vitega Uchumi ZIPA katika
kikao cha siku moja kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
Mwenyekiti wa Bodi
ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Ukuzaji Vitega Uchumi Balozi Mohamed
Mzale (kulia) alipokuwa akitoa maelezo wakati wa kikao cha siku moja
kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambacho
kilijumuisha Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango na Uongozi wa Mamlaka
ya Ukuzaji Vitega Uchumi ZIPA chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka
ya Ukuzaji Vitega Uchumi ZIPA alipokuwa akitoa ufafanuzi wakati
wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini
Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),ambacho
kilijumuisha Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango,Uongozi wa Bodi ya
Wakurugenzi ya Mamlaka ya Ukuzaji Vitega Uchumi pamoja na Uongozi wa
Mamlaka ya Ukuzaji Vitega Uchumi ZIPA
Baadhi ya Wajumbe wa Uongozi wa Mamlaka ya Ukuzaji
Vitega Uchumi ZIPA,wakifuatilia kwa makini maelezo mbali mbali
yaliyotolewa katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi
wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo
pichani),ambacho kilijumuisha Uongozi wa Wizara ya Fedha na
Mipango,Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Ukuzaji Vitega
Uchumi na Uongozi wa Mamlaka hiyo,[Picha na Ikulu.] 01 /08/2017.
0 comments:
Post a Comment