Spika
wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zubeir Ali Maulid akizungumza
wakati wa Ufunguzi Mafunzo ya Semina kuhusiana na kazi kwa Vijana
iliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Wilaya ya
Magharibi B Unguja.
Mkurugenzi
Ajira Ameir Ali Ameir akisoma ratiba ya Ufunguzi wa Semina kuhusiana na
Mafunzo kazi kwa Vijana iliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la
Wawakilishi Mbweni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Mkurugenzi
wa ILO Bi.Mary Kawar akitoa hotuba katika Ufunguzi wa Semina kuhusiana
na Mafunzo kazi kwa Vijana iliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la
Wawakilishi Mbweni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Mtaalamu
muelekezi kutoka ILO Ashwani Aggarwal akitoa mafunzo elekezi katika
Semina kuhusiana na Mafunzo kazi kwa Vijana iliofanyika katika Ukumbi wa
Baraza la Wawakilishi Mbweni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuber Ali Maulid katikati
akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Wawakilishi waliohudhuria
katika Semina kuhusiana na Mafunzo kazi kwa Vijana iliofanyika katika
Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Picha na Yussuf Simai - Maelezo Zanzibar )
0 comments:
Post a Comment