Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) alipokuwa akiangalia Tungule wakati alipotembelea Biashara za
Kilimo za Ushirika wa Mtule AMCOS leo pamoja na Viongozi wengine
wakati alipotembelea katika Ofisi ya Ushirika huo kupata maelezo akiwa
katika ziara ya kutembelea Miradi mbali mbali ya Wananchi wa Wilaya ya
Kusini Unguja,(kulia) Mwenyekiti wa Ushirika wa Mtule AMCOS Bw.Mgana
Khamis Zidi
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) alipokuwa akiangalia Mabilingani wakati alipotembelea
Biashara za Kilimo za Ushirika wa Mtule AMCOS leo pamoja na Viongozi
wengine wakati alipotembelea katika Ofisi ya Ushirika huo kupata
maelezo akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi mbali mbali ya Wananchi
wa Wilaya ya Kusini Unguja,(wa pili kulia) Mkuu wa Wilaya ya Kusini
Unguja pia kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Idrisa Kitwana
Mustafa
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein
(wa pili kulia) alipokuwa akiuliza jambo wakati alipotembelea Biashara
za Kilimo za Ushirika wa Mtule AMCOS leo pamoja na Viongozi wengine
(Pichani) matikiti yaliyouzwa kati ya Shilingi za Kitanzania Elfu tano
Mpaka Elfu Nne wakati alipotembelea katika Ofisi ya Ushirika huo kupata
maelezo akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi mbali mbali ya Wananchi
wa Wilaya ya Kusini Unguja
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein
akifuatana na Mwenyekiti wa Ushirika wa Mtule AMCOS Bw.Mgana Khamis Zidi
(katikati) pamoja na Viongozi wengine wakifuatana mara baada ya
kuwasili katika Ofisi ya Ushirika huo leo na kupata maelezo akiwa katika
ziara ya kutembelea Miradi mbali mbali ya Wananchi wa Wilaya ya Kusini
Unguja
Baadhi
ya Akina Mama wa Ushirika wa Mtule AMCOS walipokuwa wakimkaribisha Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani) wakati alipotembelea katika Ofisi ya Ushirika huo
iliyopo Mtule Kandahar wakati alipokuwa katika ziara ya kutembelea
Miradi ya maendeleo ya wananchi Wilaya ya Kusini Unguja leo
Mjumbe
wa Kamati ya Mikopo katika Ushirika wa Mtule AMCOS Nd,Haji Juma Haji
(kushoto) alipokuwa akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) wakati
alipotembelea katika Ofisi ya Ushirika huo iliyopo Mtule Kandahar wakati
alipokuwa katika ziara ya kutembelea Miradi ya maendeleo ya wananchi
Wilaya ya Kusini Unguja leo (katikati) Mwenyekiti wa Ushirika wa Mtule
AMCOS Bw.Mgana Khamis Zidi
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) pamoja na Viongozi wengine wakiwa katika Picha ya Pamoja na
Wanaushirika wa Mtule AMCOS leo wakati alipotembelea katikaOfisi ya
Ushirika huo kuangalia maendeleo waliofikia wananchi hao akiwa katika
ziara ya kutembelea maendeleo katika Wilaya ya Kusini Unguja, [Picha na
Ikulu.]17/08/2017.
0 comments:
Post a Comment