Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akimuapisha Dkt, Idris Muslim Hija kuwa Katibu Mkuu wa Ofisi
ya Makamu wa Pili wa Rais, hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa
Ikulu Mjini Zanzibar, kabla ya Uteuzi huo alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini
Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akimuapisha Bw.Joseph Abdalla Meza kuwa Katibu Mkuu wa Wizara
ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi,hafla iliyofanyika leo katika
ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla ya Uteuzi huo alikuwa Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akimuapisha Bw.Juma Ali Juma kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko,hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla ya Uteuzi huo alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akimuapisha Bw.Bakari Haji Bakari kuwa Katibu Mtendaji wa
Bazara la Biashara la Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa
Ikulu Mjini Zanzibar,kabla ya Uteuzi huo alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akimuapisha Bw.Ali Khamis Juma kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko,hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla ya Uteuzi huo alikuwa Naibu Katibu Wizara ya Fedha na Mipango.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akimuapisha Bw.Iddi Haji Makame kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akimuapisha Bw.Abeid Juma Ali kuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete
Pemba katika hafla
iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla ya uteuzi huo
alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akimuapisha Bw.Rashid Hadid Rashid kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba katika hafla
iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla ya uteuzi huo
alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akimuapisha Kapteni Khatib Khamis Mwadini kuwa Mkuu wa Wilaya
ya Magharibi A.Unguja, hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu
Mjini Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akimuapisha Bibi Salama Mbarouk Khatibu kuwa Mkuu wa Wilaya
yaMicheweni Pemba katika hafla
iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla ya uteuzi huo
alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba.
(Picha na Ikulu)
0 comments:
Post a Comment