Home » » DAWA ZA KULEVYA ZAKAMATWA KISIWANI ZANZIBAR

DAWA ZA KULEVYA ZAKAMATWA KISIWANI ZANZIBAR

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

Baadhi ya dawa ya Kulevya yanayosadikiwa kuwa ni Bangi yaliokamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba katika Bandari ya Mkoani Kisiwani humo, na Abiria aliekuwemo katika Meli ya Azam 11, ikitokea Unguja hapo jana.

Dawa ya kulevya yanayosadikiwa kuwa ni Bangi , yakimwagwa kwenye meza ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini ,Shekhan Moh'd Shekhan.
Mfuko ambao ulihifadhiwa Madawa hayo yanayosaidikiwa ni Bangi, ambayo yalikamatwa Mkoani Pemba, na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba.

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Tone multimedia company Limited
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa