Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Mhe, Hamad
Rashid Mohamed mara alipowasili katika Ufunguzi wa Maonesho ya
Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani leo katika Viwanja vya eneo
maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini
Magharibi Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali leo wakati alipowasili
katika Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani
katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya
Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya
Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe.Dkt.Islam Seif Salum (Mchenga)
wakati alipowasili katika Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku
ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani
Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifungua pazia kufungua Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula
Duniani leo katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya
ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja (kulia) Waziri wa
Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe,Hamad Rashid Mohamed
Baadhi
ya Viongozi mbali mbali na Wananchi waliohudhuria katika sherehe za
Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika
Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B"
Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja yaliyofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo
pichani),[
Mke
wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mama Mwanamwema Shein (katikati) akiwa na
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma (kulia) pamoja
na Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe,Hamad Rashid Mohamed
katika sherehe za Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya
Chakula Duniani yaliyofunguliwa leo katika Viwanja vya eneo maalum
lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi
Unguja.
Baadhi
ya Vijana waliovalia sare na Wananchi wakiwa katika sherehe za Ufunguzi
wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja
vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa
Mjini Magharibi Unguja,yaliyofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Wanafunzi wa Skuli ya Dole wakiwa katika sherehe za Ufunguzi wa
Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya
eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini
Magharibi Unguja,yaliyofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Baadhi
ya Viongozi mbali mbali na Wananchi waliohudhuria katika sherehe za
Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika
Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B"
Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja yaliyofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo
pichani).
Taasisi
ya utafiti wa kilimo Zanzibar wakionnesha kazi zao wanazofanya katika
maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya
eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini
Magharibi Unguja yaliyofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akitoa hutuba yake kwa Wananchi mbali mbali na Viongozi
waliohudhuria katika maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani
katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya
Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja alipoyafungua leo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) pamoja na Viongozi wakiwa picha ya pamoja na wajumbe wa
Kamati ya maandalizi ya maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula
Duniani katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya
Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo baada ya kufunguliwa
rasmi na Mhe.Rais Shein. (Picha na Ikulu)
0 comments:
Post a Comment