Taasisi ya the voice of the voiceless
Jumapili hii ili pata balozi wao mpaya ambaye atakuwa anahiwakilisha
taasisi na kuwa balozi wa mradi wao wa TUNZA FUNGUO YAKO.
Balozi huyo anafamika kwa Jina la SELEMBE ni mchezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar
Awali wakati wa tukio la ukabizishaji wa
jezi ya taasisi hiyo Bwana Selembe alishukuru taasisi hiyo na kuonyesha
furaha yake ya kuchaguliwa na kupewa cheo icho kwakuwa yeye pia ni
mzanzibar amefarijika kuona kuwa balozi ambaye atasimania kuongoza mradi
wa TUNZA FUNGUO YAKO.
Taasisi ya VOV foundation katika kuboresha mradi wao na kuweza kufika mbali nakupata wadau ambao watachangia kwa mwaka 2018.
Kwa upande wake Omary A. Mdogwa ambaye ni
mwanzilishi wa taasisi hiyo alikuwa alibainisha kuwa waliamua kumchagua
Selembe kutokana na ushawishi wake kwa mchezaji huyo visiwani humo
pamoja na kuangalia mambo mengine mbalimbali kama vigezo tosha kwa kuwa
balozi wao.
"Tume mchagua bwana Selembe kwa nia moja
tu ya kufanya utofauti na kuangalia upenzi wa mpira kwa upande wa
Zanzibar. Pia tutatumia mchezo wa mpira kuweza kufanya 'donation' mbali
mbali ili kuweza kusaidia vijana walio mashuleni "Alieleza Mdogwa.
Balozi mpya wa Taasisi ya
the voice of the voiceless ambaye atakuwa anahiwakilisha taasisi na kuwa
balozi wa mradi wao wa 'TUNZA FUNGUO YAKO' Selembe ambaye pia
ni mchezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar
Balozi mpya wa Taasisi ya
the voice of the voiceless ambaye atakuwa anahiwakilisha taasisi na kuwa
balozi wa mradi wao wa 'TUNZA FUNGUO YAKO' Selembe ambaye pia
ni mchezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar
Viongozi wa Taasisi ya the
voice of the voiceless wakimkabidhi jezi maalum Selembe ambaye atakuwa
anahiwakilisha taasisi hiyo kama Balozi wa mradi wao wa 'TUNZA FUNGUO
YAKO'. Viongozi hao kulia ni Mwanzilishi wa Taasisi hiyo Omary Mdogwa na
kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa vov foundation, Bi Anatolia Kasira
0 comments:
Post a Comment