Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Baadhi
ya washiriki wa mafunzo ya Udhibiti wa Usambaaji mafuta wakati
yanapomwagika Baharini wakisikiliza maelezo kutoka kwa kiongozi kutoka
ZMA kabla ya kuanza kwa zoezi la vitendo la kudhibiti mafuta katika
bandari ya Malindi mjini Unguja.Mafunzo hayo yanaendeshwa na Kampuni
kutoka Norwey inayojishughulisha na Udhibiti wa mazingira Baharini
Norwagian Costal Adminastration (NCM).
Washiriki
wa Mafunzo ya Udhibiti wa Usambaaji wa Mfuta wakati yanapomwagika
baharini wakiunganisha maturubali maalum ya kudhibiti mafuta katika
Bahari kwenye mazoezi ya vitendo yaliofanyika katika Bandari ya Malindi
Mjini Unguja .Mafunzo yanayoendeshwa na Kampuni kutoka Norwey
inayojishughulisha na Udhibiti wa mazingira Baharini Norwagian Costal
Adminastration (NCM).
Washiriki
wa Mafunzo ya Udhibiti wa Usambaaji wa Mfuta wakati yanapomwagika
baharini wakikunjuwa maturubali maalumu kwa ajili ya kudhibiti mafuta
yaliomwagika baharini katika mazoezi ya vitendo yaliofanyika katika
Bandari ya Malindi Mjini Unguja .Mafunzo yanayoendeshwa na Kampuni
kutoka Norwey inayojishughulisha na Udhibiti wa mazingira Baharini
Norwagian Costal Adminastration (NCM).
Maturubali
maalum ya kudhibiti usambaaji wa mafuta yaliomwagika baharini
yakiwatayari yamesha tandazwa kwa ajili ya kudhibiti mafuta katika
mazoezi ya vitendo yaliofanyika katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja
.Mafunzo yanayoendeshwa na Kampuni kutoka Norwey inayojishughulisha na
Udhibiti wa mazingira Baharini Norwagian Costal Adminastration (NCM).
Mwandishi
wa Habari wa ITV Farouk Hassan akifanya mahojiano na Msaidizi mtaalamu
Mkuu kutoka Taasisi ya Norwagian Costal Adminastration (NCM).Odd Gonnar
Jorgensen kuhusiana na zoezi zima la uendeshaji wa mafunzo ya Udhibiti
wa Usambaaji wa Mfuta baharini katika mafunzo ya vitendo yanayoendeshwa
na Kampuni kutoka Norwey inayojishughulisha na Udhibiti wa mazingira
Baharini Norwagian Costal Adminastration (NCM).
Kifaa
maalum cha kuchuja mafuta Baharini kikiingizwa baada ya mafuta
yaliomwagika kudhibitiwa katika mafunzo ya vitendo yakudhibiti
Usambaaji wa mafuta yaliomwagika baharini yanayoendeshwa na Kampuni
kutoka Norwey inayojishughulisha na Udhibiti wa mazingira Baharini
Norwagian Costal Adminastration (NCM).
Injinia
Mratibu wa Maswala ya mazingira Baharini kutoka ZMC Halfani Hamad
Hassan kulia akizungumza na Waandishi wa Habari waliohudhuria katika
mafunzo ya Vitendo ya kudhibiti Usambaaji wa Mafuta baharini mafunzo
yanayoendeshwa na Kampuni kutoka Norwey inayojishughulisha na Udhibiti
wa mazingira Baharini Norwagian Costal Adminastration (NCM).
Msaidizi
mtaalamu Mkuu kutoka Taasisi ya Norwagian Costal Adminastration
(NCM).Odd Gonnar Jorgensen wapili kulia akisisitiza jambo katika zoezi
la utandazaji wa maturubali maalum ya kudhibiti mafuta yaliomwagika
baharini uendeshaji mafunzo yaliofanyika katika bandari ya Malindi mjini
Unguja.
Mwandishi
wa Habari wa ITV Farouk Hassan akifanya mahojiano na mmoja kati ya
Washiriki wa mafunzo ya Udhibiti Usambaaji wa mafuta yaliomwagika
baharini Abdillahi Chilinga kutoka kampuni ya GAPCO Zanzibar kuhusiana
na namna alivyoyapokea mafunzo hayo yaliofanyika katika bandari ya
Malindi mjini Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
0 comments:
Post a Comment