Kauli ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda kuliruhusu Jeshi la Polisi nchini kuwapiga raia wanaokaidi maagizo ya vyombo vya dola imeanza kuleta madhara baada ya mwishoni mwa wiki askari polisi wa Barabarani huko Zanzibar kumshushia kipigo kijana mmoja aliyekuwa na pikipiki kwa madai ambayo hata hivyo hayakujulikana mara moja.
Kauli ya Pinda inaanza kutoa madhara, tazama video hii uone uonevu huu usiovumilika.
0 comments:
Post a Comment