Home » » Rais wa Zanzibar Dk.Shein akutana na Katibu Mtendaji wa SADC

Rais wa Zanzibar Dk.Shein akutana na Katibu Mtendaji wa SADC


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena L.Tax,wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi kujitambulisha kwa Rais, baada ya kuteuliwa kushika wadhifa wake huo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena L.Tax,wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi kujitambulisha kwa Rais, baada ya kuteuliwa kushika wadhifa wake huo,
Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa