Home » » Maalim Seif afanya ziara ya Kichama Wilaya ya Magharibi,Unguja

Maalim Seif afanya ziara ya Kichama Wilaya ya Magharibi,Unguja


Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na wanachama na wapenzi wa chama hicho katika eneo la Mfenesini, wakati wa ziara yake ya kichama katika Wilaya ya Magharibi Unguja.
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akipokea mabati 100 kutoka kwa Mwakilishi wa viti maalum (CUF) Mhe. Zahra Ali Hamad, kwa ajili ya Ofisi ya Jimbo la Bububu.
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza katika Tawi la Kidatu 'A' Mtoni, wakati wa ziara yake ya kichama katika Wilaya ya Magharibi Unguja. 
(Picha na Salmin Said, OMKR)

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa