Home » » Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein Akutana na Kamati ya Uandishi wa Taarifa za Serikali IKULU Zanzibar

Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein Akutana na Kamati ya Uandishi wa Taarifa za Serikali IKULU Zanzibar



ais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na Kamati ya uandishi wa taarifa za Serikali,katika mahojiano maalum kuhusu maendeleo ya Zanzibar,ikiwa ni katika  maadhimisho   ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo mchana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Kamati ya uandishi wa taarifa za Serikali,katika mahojiano maalum kuhusu maendeleo ya Zanzibar,ikiwa ni katika  maadhimisho   ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo mchana.
Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa