Home » » Dk. Shein akutana na Balozi wa India Nchini

Dk. Shein akutana na Balozi wa India Nchini


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa India Nchini Tanzania
Debnath Shaw,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa India Nchini Tanzania Debnath Shaw,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi.
Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.



0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa