Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiwahutubia wanafunzi wa Chuo
Kikuu Kishiriki cha Elimu Chukwani nje kidogo ya Mji wa Zanzibar
waliomaliza masomo yao ya shahada ya kwanza kwenye mahafali ya 13 ya
chuo hicho.Kushoto ya Balozi Seif ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali
Zanzibar Mh. Ali Juma Sahamuhuna na kulia yake ni Mwenyekiti wa Baraza
la Chuo hicho Dr. Abdulrahman El- Muhailan.
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akikabidhi zawadi kwa baadhi ya
wanafunzi bora wa masomo mbali mbali waliofanya vizuri kwenye masomo
yao ya shahada ya kwanza katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Chukwani.
Kulia yake wanaofurahia ni Mwenyekiti wa Baraza la Chuo hicho Dr.
Abdulrahman El – Muhailan na Mkuu wa Chuo Kikuu chukwani Profesa Hamed
Rashid Hikman.
Baadhi
ya wanafunzi wa chuo Kikuu Shirikishi cha Elimu chukwani wakiwa katika
madaha kwenye mahfali yao ya 13 ya kumalizia masomo yao ya shahada ya
kwanza.
Wanafunzi
wa Chuo Kikuu shirikishi cha elimu chukwani wa fani ya Geagraph wakiwa
katika vitendo vya kuashiria kukamilisha masomo yao ya shahada ya
kwanza chuoni hapo.
Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ.
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
0 comments:
Post a Comment