Home » » RAIS KIKWETE APOKEA MATEMBEZI YA UVCCM ZANZIBAR JANA

RAIS KIKWETE APOKEA MATEMBEZI YA UVCCM ZANZIBAR JANA

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akipokea maandamano ya watembeaji  kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar jana January 5, 2014.
 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akihutubia baada ya  kupokea maandamano ya  watembeaji  kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar  katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar jana January 5, 2014.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akikagua gwaride la Chipukizi kabla ya kupokea maandamano ya watembeaji  kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar jana
January 5, 2014.
 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akikagua Brass Band ya  Chipukizi kabla ya
kupokea maandamano ya watembeaji  kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar
jana January 5, 2014. 
 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na wana UVCCM baada ya  kupokea
maandamano ya watembeaji  kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu
ya Zanzibar katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar jana January 5, 2014.
 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete, Makamu wa Mwenyekiwa CCM (Visiwani) na Rais
wa Zanzibar  Dkt Ali Mohamed Shein na Viongozi wengine waki imba wimbo
wa mashujaa wakati wa  ya kupokea maandamano ya watembeaji  kusherehekea
miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika viwanja vya Maisara
mjini Zanzibar jana January 5, 2014
PICHA NA IKULU

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa