Home » » BODI YA VYAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR YAKUBALIANA NA MFANYA BIASHARA KUREJESHWA MCHELE MBOVU PAKISTAN.

BODI YA VYAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR YAKUBALIANA NA MFANYA BIASHARA KUREJESHWA MCHELE MBOVU PAKISTAN.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

 Mmiliki wa Mchele uliodhibitishwa kuwa mbovu na kutofaa kwa chakula na Bodi ya vyakula, dawa na vipodozi Zanzibar Bwana. Mohamed Mauly akizungumza na waandishi wa habari katika zoezi la kurejeshwa kwao Mchele huo wenye wingi wa Nani 26 sawa na kg 2,600 katika Gonauni lake kwerekwe Zanzibar. 
 Mchele mbovu uliodhibitishwa na Bodi ya vyakula, dawa na vipodozi Zanzibar ukiwa kweye Godauni Mwanakwerekwe ukisubiri kurejeshwa Pakistan ulipo nunuliwa. 
 Wachukuzi wakipakia Mchele kwenye gari kwaajili ya kusafirishwa kurejeshwa ulipotoka.
Mmiliki wa Mchele Bwana. Mohamed Mauly akionyesha Mchele mbovu ulithibitishwa na Bodi ya vyakula, dawa na vipodozi Zanzibar na mwenyewe kuridhika na majibu hayo, nakusema sio aliouagizia hivyo ameshapeleka madai na kutakiwa aurudishe ili kupewa haki zake na Kampuni ya Bilal Rice Mills ya Pakistan. 
Picha na Makame Mshenga wa Maelezo-Zanzibar.

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa