Habari
zilizoufikia mtandao huu hivi punde zinasema kuwa Jeshi la Wanamaji,
limefanikiwa kuwanasa Raia wa kigeni 12 kutoka Pakstan na Iran, wakiwa
na shehena ya madawa ya kulevya wakisafirishwa kwa Jahazi kuelekea
Zanzibar.
Watu
hao wamekamatwa eneo la Bahari ya Indi wakiwa ndani ya Jahazi hilo
ambapo hawakuwa na raia hata mmoja ambaye ni mtanzania huku ikielezwa
kuwa mzigo huo ni shehena kubwa huenda kuzidi zote zilizokwisha wahi
kukamatwa.
Kaa nasi habari zitawafiki kadri zitakavyozidi kutufikia.
CHANZO: SUFIANI MAPHOTO BLOG
0 comments:
Post a Comment