Home » » Rais DK.Shein akutana na Balozi wa Ufaransa afungua mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania

Rais DK.Shein akutana na Balozi wa Ufaransa afungua mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzamnia Bw.Marcel ESCURE alipofika Ikulu Mjini Zanzibar Jana.[Picha na ramadhan Othman,Ikulu.]
TA1A3741 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana  na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzamnia Bw.Marcel ESCURE alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.[Picha na ramadhan Othman,Ikulu.]
TA1A3769 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiashiria jambo wakati wa akiufunga mkutano wa Tafakuri na maridhiano  katika kuelekea Katiba mpya ya Tanzania katika ukumbi wa White sand jijini  Dar es Salaam,uliowashirikisha wanasiasa,Mashirika ya Kijamii na Viongozi wa Dini mbali mbali nchini.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa siku mbili  kuhusu tafakuri na maridhiano katika kuelekea Katiba mpya ya Tanzania wakimsikiliza Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiufunga mkutano  uliowashirikisha watu mbali mbali wakiwemo  Wanasiasa,Viongozi wa Dini na Mashirika  ya Kijamii Nchini. [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.] TA1A3877 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi alipowasili katika Hoteli ya Whitesand Jijini Dar es Salaam,kuufunga mkutano wa siku mbili wa  Tafakuri na maridhiano katika  kuelekea Katiba mpya ya Tanzania leo.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]  TA1A3904 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia  Tanzania pia Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi Joseph Mbatia  baada ya kuufunga mkutano wa siku mbili wa Tafakuri na Maridhiano katika kuelekea Katiba mpya ya Tanzania,Ukumbi wa Whitesand Jijini Dar es Salaam leo jioni. [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa